• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2018

  CROATIA YAMALIZA MECHI ZA MAKUNDI KWA USHINDI ASILIMIA 100

  Ivan Perisic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Croatia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Milan Badelj alianza kuifungia Croatia dakika ya 53 kaba ya Gylfi Sigurdsson kusawazisha dakika ya 76 kwa penalti kufuatia Dejan Lovren kucheza rafu kwenye boksi. Croatia inamaliza mechi za makundi ikishinda zote tatu baada ya kuzifunga pia Argentina na Nigeria na sasa itakutana na Denmark katika 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CROATIA YAMALIZA MECHI ZA MAKUNDI KWA USHINDI ASILIMIA 100 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top