• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2018

  DIDA HUYOO SIMBA TENA LICHA YA TAARIFA ZA KUREJEA YANGA

  Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba, Hajji Manara ameposti picha hii akiwa na kipa wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi 'Dida' sambamba na maelezo 'Done', yaani wamemsajili kipa wao huyo wa zamani aliyekuwa anacheza Afrika Kusini ambaye taarifa zinasema alikuwa anatakiwa kurejea Jangwani pia

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIDA HUYOO SIMBA TENA LICHA YA TAARIFA ZA KUREJEA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top