• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 21, 2018

  FRED ATAMBULISHWA MAN UNITED BAADA YA KUSAINI MIAKA MITANO

  Kiungo Mbrazil, Fred akifurahia baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 52 kujiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Shakhtar Donetsk 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRED ATAMBULISHWA MAN UNITED BAADA YA KUSAINI MIAKA MITANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top