• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 19, 2018

  JAPAN YAITANDIKA COLOMBIA 2-1 KOMBE LA DUNIA

  Yuya Osako (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Japan dakika ya 73 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia Uwanja wa Mordovia Arena mjini Saransk, Urusi. Wengine ni Yuto Nagatomo (kushoto) na Maya Yoshida. Bao la Kwanza la Japan lilifungwa na Shinji Kagawa dakika ya sita kabla ya Juan Fernando Quintero kuisawazishia Colombia dakika ya 39 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JAPAN YAITANDIKA COLOMBIA 2-1 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top