• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2018

  FALCAO, CUADRADO WAFUNGA COLOMBIA YAITANDIKA POLAND 3-0

  Mshambuliaji Radamel Falcao wa Colombia akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 70 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Poland Jumapili kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia mjini Kazan, Urusi. Mabao mengine ya Colombia yamefungwa na Yerry Mina dakika ya 40 na Juan Cuadrado dakika ya 75 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FALCAO, CUADRADO WAFUNGA COLOMBIA YAITANDIKA POLAND 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top