• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 30, 2018

  RONALDO NAYE AONDOSHWA MAPEMAA KOMBE LA DUNIA

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akiwa haamini macho yake baada ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia wakitolewa na Uruguay kwa kufungwa Ureno 2-1 Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi leo. Ronaldo wa klabu ya Real Madrid, anaungana na hasimu wa La Liga, Lionel Messi wa Barcelona ambaye timu yake, Argentina imetolewa na Ufaransa leo pia katika mchezo uliotangulia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO NAYE AONDOSHWA MAPEMAA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top