• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 20, 2018

  MISRI YAPIGWA 3-1 NA KUELEKEZWA MLANGO WA KUTOKEA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah akimtoka beki wa Urusi anayejaribu kumkwatua wakati wa mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa St Petersburg mjini Moscow. Urusi imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Ahmed Fathy aliyejifunga dakika ya 47, Denis Cheryshev dakika ya 59 na Artem Dzyuba dakika ya 62 wakati la Misri limefungwa na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 73. Huo unakuwa mchezo wa pili Misri inapoteza baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay kwenye mchezo wa kwanza na sasa wanahitaji miujiza ili kwenda hatua ya mtoano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MISRI YAPIGWA 3-1 NA KUELEKEZWA MLANGO WA KUTOKEA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top