• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 18, 2018

  LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAICHAPA 3-0 PANAMA


  Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 69 na 75 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Panama kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia leo Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi, Urusi. Bao la kwanza lilifungwa na Dries Mertens dakika ya 47 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YAICHAPA 3-0 PANAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top