• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 28, 2018

  NEYMAR ANG'ARA BRAZIL IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

  Nyota wa Brazil, Neymar akimtoka kiufundi mchezaji wa Serbia katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Jumatano Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskow. Brazil ilishinda 2-0, mabao ya Paulinho dakika ya 36 na Thiago Silva dakika ya 68, hivyo kufuzu hatua ya 16 Bora na itakutana na Mexico Julai 2, wakati Serbia imetolewa. Uswisi iliyotoa sare ya 2-2 na Costa Rica nayo imefuzu pia 16 Bora na itamenyana na Sweden Julai 3 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR ANG'ARA BRAZIL IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top