Beki wa Colombia, Yerry Mina akipiga magoti kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 74 ikiilaza 1-0 Senegal katika mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia leo Uwanja wa Samara Arena nchini Urusi. Kwa matokeo hayo, Colombia imeungana na Japan kwenda hatua ya 16 Bora, huku Senegal ikiungana na timu nyingine za Afrika, Nigeria, Morocco, Misri na Tunisia kuaga mashindano huku Poland nayo ikitolewa pamoja na kushinda 1-0 dhidi ya Japan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment