• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 20, 2018

  RONALDO AIFUNGIA BAO PEKEE URENO YAICHAPA 1-0 MOROCCO

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia kwa furaha baada ya kuifungia Ureno bao pekee dakika ya nne katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Morocco kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AIFUNGIA BAO PEKEE URENO YAICHAPA 1-0 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top