Nahodha wa Croatia, Luka Modric akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la pili timu yake kwa penalti dakika ya 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Jumamosi Uwanja wa Kaliningrad mjini Kaliningrad, baada ya Oghenekaro Etebo kuanza kujifunga dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment