• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 22, 2018

  MSUVA TAYARI AMEREJEA MOROCCO KUJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (katikati) akiwa na wachezaji wenzake wa Difaa Hassan El- Jadida juzi mjini Jadida nchini Morocco wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mechi za makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika na kwa ujumla pamoja na msimu mpya kufuatia mapumziko ya wiki tatu. Msuva amerejea Morocco wiki hii baada ya kuwa nyumbani kwa mapumziko kwa muda wote huo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSUVA TAYARI AMEREJEA MOROCCO KUJIANDAA NA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top