• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 23, 2018

  CHICHARITO AIFUNGIA LA USHINDI MEXICO IKIILAZA 2-1 KOREA KUSINI

  Javier Hernandez akishangilia baada ya kuifungia Mexico bao la ushindi dakika ya 66 ikiilaza Korea Kusini 2-1 katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia leo Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Hiyo ni baada ya Carlos Vela kuanza kuifungia Mexico dakika ya 26 na kabla ya Son Heung-Min kuifungia Korea Kusini bao la kufutia machozi dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHICHARITO AIFUNGIA LA USHINDI MEXICO IKIILAZA 2-1 KOREA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top