Keisuke Honda akishangilia baada ya kuifungia Japan bao la kusawazisha dakika ya 78 katika sare ya 2-2 na Senegal kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia Jumapili Uwanja wa Ekaterinburg Arena nchini Urusi. Mabao ya Senegal yalifungwa na na Sadio Mane dakika ya 11 na Moussa Wague dakika ya 71, wakati bao lingine la Japan limefungwa na Takashi Inui dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Legends of the North: United 1 Liverpool 3
-
Over £1.3 million was raised for the United Foundation, as 48,777 attended
an entertaining game at Old Trafford.
Dakika 19 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni