• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 21, 2018

  SUAREZ AING'ARISHA URUGUAY IKIICHAPA 1-0 SAUDI ARABIA

  Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Uruguay dakika ya 23 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia leo Uwanja wa Rostov Arena 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ AING'ARISHA URUGUAY IKIICHAPA 1-0 SAUDI ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top