• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 22, 2018

  MBAPPE AISOGEZA UFARANSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

  Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Ufaransa dakika ya 34 ikiilaza 1-0 Peru katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia Alhamisi Uwanja wa Ekaterinburg Arena nchini Urusi na kuiweka nchi yake kwenye nafasi nzuri ya kwenda hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAPPE AISOGEZA UFARANSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top