Lionel Messi akiwa haamini macho yake baada ya Argentina kuchapwa 3-0 na Croatia katika mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Alhamisi Uwanja wa Nizhny Novgorod nchini Urusi, mabao ya Ante Rebic dakika ya 53, Luka Modric dakika ya 80 na Ivan Rakitic dakika ya 90 na ushei. Mechi ya kwanza Argentina ilitoa sare 1-1 na Iceland na sasa watalazimiak kuifunga Nigeria katika mchezo wa mwisho Juni 26 kuangalia uwezekano wa kwenda Raundi ya Pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment