• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 30, 2018

  MBAPPE SHUJAA WA UFARANSA IKIITOA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

  Wachezaji wa Ufaransa wakimpongeza mwenzao, Kylian Mbappe aliyefunga mabao mawili dakika ya 64 na 68 katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Argentina kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Kazan Arena, Urusi. Mabao mengine ya Ufaransa yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 13 kwa penalti na Benjamin Pavard dakika ya 57, wakati ya Argentina yamefungwa na Angel Di Maria dakika ya 41, Gabriel Mercado dakika ya 48 na Sergio Aguero dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAPPE SHUJAA WA UFARANSA IKIITOA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top