• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 24, 2018

  KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND YAICHAPA 6-1 PANAMA

  Mshambuliaji Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England mabao matatu dakika za 22, 45 na ushei yote kwa penalti na 62 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Panama kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia leo Uwanja wa Stadion Nizhny Novgorod nchini Urusi. Mabao mengine ya England yamefungwa na John Stones dakika ya nane na 40 na Jesse Lingard dakika ya 36, wakati la Panama limefungwa na Felipe Baloy dakika ya 78 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE APIGA HAT TRICK ENGLAND YAICHAPA 6-1 PANAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top