• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2018

  UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Grioud akipambana kuwania mpira wa juu na beki wa Denmark, Simon Thorup Kjaer katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi na timu zote zinakwenda hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia zikiziacha Peru na Australia zikiaga mapema 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top