Mshambuliaji wa Brazil, Neymar (katikati) akikimbia na wachezaji wenzake, Casemiro na Douglas Costa kushangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya saba ya muda wa nyongeza baada ya kukamilika dakika 90 za kawaida za mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia leo Uwanja wa Saint-Petersburg nchini Urusi, baada ya Philippe Coutinho kufunga la kwanza dakika ya 90 na ushei pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment