• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2018

  GERRARD AMKABIDHI KEITA JEZI NAMBA 8 LIVERPOOL

  Mchezaji mpya wa Liverpool, Naby Keita akikabidhiwa jezi namba nane (8) na gwiji wa klabu, Steven Gerrard ambaye alikuwa anavaa jezi hiyo kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani Mei 2015. Keita anatarajiwa kutambulishwa rasmi wiki ijayobaada ya makubaliano ya awali ya kusajiliwa kutoka RB Leipzig 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GERRARD AMKABIDHI KEITA JEZI NAMBA 8 LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top