• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2018

  RONALDO AKOSA PENALTI, LAKINI URENO YASONDA MBELE

  Cristiano Ronaldo (kulia) akigombea mpira na kipa wa Iran,  Ali Beiranvand katika mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia leo Uwanja wa Mordovia Arena mjini Saransk nchini Urusi, timu hizo zikitoka 1-1 mwanasoka huyo bora wa dunia akikosa penalti iliyookolewa na mlinda mlango huyo dakika ya 53. Ureno ilitangulia kwa bao la Ricardo Quaresmadakika ya 45, kabla ya Karim Ansarifard kuisawazishia kwa penalti Iran dakika ya 90 na ushei. Ureno imefuzu hatua ya 16 Bora kama mshindi wa pili wa Kundi B kwa pointi zake tano sawa na Hispania waliomaliza juu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AKOSA PENALTI, LAKINI URENO YASONDA MBELE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top