Nyota wa Atletico Madrid, Jose Gimenez (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Uruguay dakika ya 89 ikiilaza 1-0 Misri katika mchezo wa Kunsi A Kombe la Dunia Uwanja wa Ekaterinburg Arena mjini Ekaterinburg, Urusi leo. Misri ilimkosa nyota wake, Mohamed Salah aliyekuwa benchi kutokana na maumivu ya bega aliyoyapata katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, klabu yake, Liverpool ikifungwa 3-1 na Real Madrid mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment