• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 30, 2018

  KWAHERI MESSI, UFARANSA YASUBIRI MSHINDI KATI YA URUGUAY NA URENO

  Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akiondoka kinyonge baada ya mchezo  hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Kazan Arena, Urusi timu yake ikichapwa mabao 4-3 na Ufaransa na kutolewa. Sasa Ufaransa itakutana na mshindi kati ya Uruguay na Ureno kwenye Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KWAHERI MESSI, UFARANSA YASUBIRI MSHINDI KATI YA URUGUAY NA URENO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top