Wachezaji wa Senegal wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Thiago Cionek aliyejifunga dakika ya 37 baada ya kubabatizwa na shuti la Idrissa Gana Gueye katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia leo Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi. Bao la pili la Senegal limefungwa na Mbaye Niang dakika ya 60, kabla ya Grzegorz Krychowiak kuifungia bao la kufutia machozi Poland dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment