• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 23, 2018

  SHAQIRI AIFUNGIA LA USHINDI USWISI IKIILAZA SERBIA 2-1

  Mshambuliaji wa Stoke City, Xherdan Shaqiri akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Uswisi dakika ya 89 ikiilaza Serbia 2-1 katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Uwanja wa Kaliningrad nchini Urusi. Aleksandar Mitrovic alianza kuifungia Serbia dakika ya tano kabla ya Granit Xhaka kuisawazishia Uswisi dakika ya 52 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHAQIRI AIFUNGIA LA USHINDI USWISI IKIILAZA SERBIA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top