• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2018

  ASPAS AIPELEKA HISPANIA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

  Iago Aspas akiifungia bao la kusawazisha Hispania dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na Morocco kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia Uwanja wa Kaliningrad, Urusi. Bao lingine la Hispania limefungwa na Isco dakika ya 19, wakati mabao ya Morocco yamefungwa na Khalid Boutaib dakika ya 14 na Youssef En-Nesyri dakika ya 81. Hispania imemaliza kileleni mwa Kundi B kwa pointi zake tano sawa na Ureno na zote zinakwenda 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ASPAS AIPELEKA HISPANIA 16 BORA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top