• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 20, 2018

  TORONTO RAPTORS WATUA DAR KUSAKA VIPAJI VYA KUHAMISHIA NBA

  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magesa (kushoto) akiwa na Mwakilishi wa Toronto Raptors ya NBA, Abel ambaye amezuru Dar es Salaam kusaka vipaji kwenye Mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 ya FIBA Kanda ya Tano, yajulikanayo kama Afrobasket 2018 Preliminaries yanayoendelea Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam tangu Juni 17 hadi 22
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TORONTO RAPTORS WATUA DAR KUSAKA VIPAJI VYA KUHAMISHIA NBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top