• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 18, 2018

  SWEDEN NAYO YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA, YAIPIGA 1-0 KOREA

  Andreas Granqvist akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Sweden dakika ya 65 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Korea Kusini leo Uwanja wa Nizhniy Novgorod nchini Urusi katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SWEDEN NAYO YAANZA VYEMA KOMBE LA DUNIA, YAIPIGA 1-0 KOREA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top