• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 24, 2018

  WAZIRI MWAKYEMBE ALIPOMTEMBELEA MZEE MAJUTO MUHIMBILI

  Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa na gwiji wa filamu nchini, Amri Athumani 'King Majuto' (kulia) baada ya kumtembelea katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam alipofikishwa kwa matibabu zaidi akitokea India alipopelekwa na Serikali kwa ajili ya kupata matibabu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI MWAKYEMBE ALIPOMTEMBELEA MZEE MAJUTO MUHIMBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top