• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 22, 2018

  SAMATTA AANZA NA GYM MAANDALIZI YA MSIMU MPYA UBELGIJI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa gym jana mjini Genk, kwa mazoezi ya kuutayarisha mwili tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya katika klabu yake, KRC Genk ya Ubelgiji kufuatia kurejea nchini humo wiki hii baada ya mapumziko ya wiki tatu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA AANZA NA GYM MAANDALIZI YA MSIMU MPYA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top