Mwanasoka Bora wa Ulaya na Dunia, Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Ureno dakika za tatu, 29 kwa penalti na 64 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Visiwa vya Faroe jana kwenye mchezo wa Kudi B kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Bessa Seculo XXI mjini Porto, hiyo ikiwa hat trick yake ya tano kwa timu yake hiyo ya taifa tangu aanze kuichezea. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na William Carvalho dakika ya 58 na Nelson Oliveira dakika ya 84, wakati la Faroe limefungwa na Rogvi Baldvinsson dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Q1 Rundown: Genesco (NYSE:GCO) Vs Other Consumer Discretionary - Footwear
Stocks
-
As the craze of earnings season draws to a close, here’s a look back at
some of the most exciting (and some less so) results from Q1. Today, we are
looking...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment