Mashujaa wa hat-trick, Romelu Lukaku na Thomas Meunier wakipongezana baada ya kazi nzuri kwenye ushindi wa 9-0 wa Ubelgiji dhidi ya Gibraltar usiku wa jana katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Maurice Dufrasne mjini Liege, Ubelgiji. Lukaku alifunga dakika za 21, 38 na 84 kwa penalti, wakati na Meunier alifunga dakika za 18, 60 na 67 wakati mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Deren Ibrahim aliyejifunga dakika ya 15, Axel Witsel dakika ya 27 na Eden Hazard dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment