MSUVA AKIFURAHIA NA RAFIKI ZAKE KUELEKEA MECHI YA KESHO
Kiungo mshambuliaji wa Difaa Hassan El - Jadida ya Morocco akiwa na wachezaji wenzake mjini Jadida wakifurahia kuelekea mchezo wa kesho wa Kombe la FA nchini humo dhidi ya Ittihad Tanger Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan
0 comments:
Post a Comment