• HABARI MPYA

  Tuesday, September 12, 2017

  ROY HODGSON AWASILI CRYSTAL PALACE KUANZA MARA MOJA KAZI

  Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson akiwasili Uwanja wa mazoezi wa Crystal Palace leo kuelekea kuanza kazi ya kufundisha timu hiyo baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili, kufuatia kufukuzwa kwa Mholanzi Ronald de Boer aliyefanya kazi kwa siku 77 Selhurst Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROY HODGSON AWASILI CRYSTAL PALACE KUANZA MARA MOJA KAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top