Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia baada ya kufanikiwa kumfunga kwa mara ya kwanza kipa mgumu kufungika wa Juventus, Gianluigi Buffon jana Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya, Barca ilishinda 3-0 na Messi alifunga mabao mawili dakika ya 45 na 69 wakati la pili lilifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment