Tiemoue Bakayoko akishangilia baada ya kuifungia bao la nne Chelsea dakika ya 71 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Qarabag usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine yalifungwa na Pedro dakika ya tano, Davide Zappacosta dakika ya 30, Cesar Azpilicueta dakika ya 55, Michy Batshuayi dakika ya 76 na Maksim Medvedev aliyejifunga dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment