Mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya FC Basle jana Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine yalifungwa na Marouane Fellaini dakika ya 35 baada ya kuingia dakika ya 19 kuchukua nafasi ya Paul Pogba aliyeumia na Marcus Rashford dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment