// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MASHABIKI, VIONGOZI WA SIMBA NA AZAM WALIVYOCHANGAMSHA CHAMAZI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MASHABIKI, VIONGOZI WA SIMBA NA AZAM WALIVYOCHANGAMSHA CHAMAZI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, September 10, 2017

  MASHABIKI, VIONGOZI WA SIMBA NA AZAM WALIVYOCHANGAMSHA CHAMAZI JANA

  Shabiki wa Simba akila nyama mbichi jukwaani jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 0-0 
  Shabiki wa kiume wa Simba akiwa amependeza na mtindo wake wa nywele 
  Mashabiki wa Simba wakifurahia jukwaani jana
  Mashabiki wa Azam FC wakifuatilia mchezo wa jana Chamazi
  Mlezi wa Azam FC, Jamal Bakhresa akiwa na Makamu Mwenyekiti wa timu hiyo, Abdulkarim Amin 'Popat'
  Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tuliy (kulia) na Ally Suru (kushoto)
  Vigogo wa Azam FC, kutoka kulia, Saad Kawemba, Nassor Idrissa, Abdallah Hassan na nyuma 
  Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (COREFA), Hassan Othman (kushoto)
  Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi, Salum Chama akiwa na Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
  Kocha wa Simba, Joseph Omog akizungumza na mchezaji wa Azam, Bryson Raphael na Meneja wa timu hiyo, Phillipo Alando (kushoto)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI, VIONGOZI WA SIMBA NA AZAM WALIVYOCHANGAMSHA CHAMAZI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top