Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura (kushoto) akitoa maelekezo kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2018 baina ya wenyeji, Uganda na Misri jana Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala. Wambura alikuwa Kamisaa wa mechi hiyo ambayo The Cranes waliwalaza 1-0 Mafarao
Wambura akiwa pamoja na waamuzi wa mchezo huo na Manahodha
Wambura akiwa pamoja na Maofisa mbalimbali mbele ya mstari wa wachezaji
Kikosi cha Uganda kilichoanza jana
Kikosi cha Misri kilichoanza jana
Jalen Brunson Sets Knicks Playoff Record, Astounds NBA Fans in Win vs.
Embiid, 76ers
-
Jalen Brunson saw Joel Embiid put 50 points on the New York Knicks in Game
3 and said, "Now watch me cook, too." The star point guard went off in Game
4 of…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment