Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Ubelgiji dakika ya 75 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Ugiriki jana kwenye mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Pireas. Jan Vertonghen alianza kuifungia Ubelgiji ya kocha Roberto Martinez dakika ya 70, kabla ya Zeca kuisawazishia Ugiriki. Ubelgiji sasa inafikisha pointi 22 baada ya kucheza mechi nane na kuwa timu ya kwanza kufuzu fainali za mwakani za Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment