• HABARI MPYA

  Monday, September 04, 2017

  UFARANSA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji mpya wa mkopo wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe akifumua shuti wakati akiichezea timu yake ya taifa, Ufaransa jana dhidi ya Luxembourg katika mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Manispaa mjini Toulouse PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UFARANSA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top