• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2017

  FIRMINO AKOSA PENALTI, LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE ANFIELD 2-2

  Mbrazil Roberto Firmino akipiga nje mkwaju wa penalti dakika ya 42 baada ya Sadio Mane kuangushwa na beki na Nahodha wa Sevilla, Nicolas Parejafluffs katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Liverpool iliyomaliza pungufu baada ya beki wake wa kulia, Joe Gomez kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 90 na ushei yalifungwa na Firmino dakika ya 21 na Mohamed Salah dakika ya 37, wakati ya Sevilla yalifungwa na Wissam Ben Yedder dakika ya tano na Joaquin Correa dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIRMINO AKOSA PENALTI, LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE ANFIELD 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top