• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2017

  MANCHESTER CITY WASHINDA 4-0 LIGI YA MABINGWA TENA UGENINI

  Manchester City wakishangilia ushindi wao wa 4-0 jana dhidi ya wenyeji, Feyenoord Uwanja wa Feyenoord mjini Rotterdam, Uholanzi usiku wa jana katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya City yalifungwa na John Stones mawili dakika za pili na 63, Sergio Aguero dakika ya 10 na Gabriel Jesus dakika ya 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY WASHINDA 4-0 LIGI YA MABINGWA TENA UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top