• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2017

  RONALDO AFUNGA MABAO MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0

  Cristiano Ronaldo akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika za 12 na 51 kwa penalti usiku wa jana katika ushindi wa 3-0 dhidi ya APOEL Nicosia ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Bernabeu. Bao lingine la Real lilifungwa na Sergio Ramos dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MABAO MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top