Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Jakaya Kikwete akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani),waliofika ndani ya ukumbi wa Mlimani City katika hafla ya kuagwa kwake ilioandaliwa na Muungano wa Wasanii kwa ajili ya kumshukuru kwa namna alivyowasaidia tangu alivyoingia madarakani kwa miaka 10 na pia kumtambulisha Mgombea wa Urais wa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli.
Dkt Jakaya Kikwete akifurahia na wasanii jana
![]() |
| Rais Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadick |
![]() |
| Dk Magufuli akipiga tumba wakayi hafla hiyo |
Dkt Jakaya Kikwete akifurahia na wasanii jana






.png)
0 comments:
Post a Comment