TIMU ya Norway imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ivory Coast usiku wa leo Uwanja wa AT&T mjini Arlington, Texas nchini Marekani.
Mabao ya Norway ‘The Vikings’ yamefungwa na winga wa RB Leipzig ya ujerumani, Antonio Eromonsele Nordby Nusa dakika ya 39 na mshabuliaji wa Manchester City, Erling Braut Haaland dakika ya 86, huku bao pekee la Ivory Coast ‘Tembo’ likifungwa na winga Amad Diallo wa Manchester United, zote za England dakika ya 74.



.png)
0 comments:
Post a Comment