• HABARI MPYA

    Thursday, August 06, 2015

    HIVI NDIVYO DI MARIA ALIVYOTAMBULISHWA UFARANSA, AKABIDHIWA JEZI NAMBA 11 PSG


    Angel di Maria akiwa ameshika jezi ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa leo baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United kwa dau la Pauni Milioni 44


    Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Argentina amekabidhiwa jezi namba 11 PSG 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO DI MARIA ALIVYOTAMBULISHWA UFARANSA, AKABIDHIWA JEZI NAMBA 11 PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top